Skip to main content
Skip to main content

Msimamizi wa bajeti Nyakang'o asema kaunti hazijaidhinishwa

  • | Citizen TV
    164 views
    Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakango sasa anasema kuwa kaunti zote nchini zimekuwa zikiendesha akaunti za benki ambazo hazijaidhinishwa. Nyakango akisema kuwa, kuna kaunti kama vile ile ya Homa Bay ambayo inaendeshazaidi ya akaunti 500 za benki. Kwa jumla, kaunti hizi zimeandikisha zaidi ya akaunti elfu tano ambazo hazijaidhinishwa.