'Msiwalaumu popo kueneza corona'

  • | BBC Swahili
    Huku wanasayansi wakiendelea kutafuta chanzo cha ugonjwa wa Covid-19, kumekuwa na hofu huenda popo wanaeneza virus. Kumekuwa na miito ya kuwaua katika baadhi ya mataifa. Bats Qld, shirika lisilo la serikali nchini Australia ambalo limekuwa likiwatunza, linasema wanyama hao ni muhimu katika mfumo wa ikolojia na kwamba ni vibaya kuwalaumu kwa janga virusi vya vya corona #Corona #Popo #Covid-19