8 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 619 views Duration: 1:45 Msongamano wa malori ya masafa marefu katika barabara kuu ya Webuye hadi mpakani Malaba unatarajiwa kufikia kikomo baada ya kuwekwa kwa mtambo wa kisasa wa kupima uzani kwa kasi ya sekunde thelathini kwa kila lori.