15 Sep 2025 1:11 pm | Citizen TV 126 views Duration: 1:06 Visa vya matatizo ya afya ya akili vimeongezeka mno Katika eneo la Tharaka kaunti ya Tharaka Nithi , hasa miongoni mwa watoto na vijana wenye umri wa miaka 8 hadi 24.