- 311 viewsDuration: 3:57Mwezi huu wa Septemba Kenya inapojiunga na mataifa mengine kutoa hamasa kuhusu afya ya akili, idadi ya vijana wanaojiua na wale wanaonusurika kutokana na kitendo hicho bado iko juu Busia.. Wanasaikolojia na wataalamu wa maswala ya msongo wa mawazo na afya ya akili Busia wanaonya dhidi ya unyanyapaa na ubaguzi wa watu wanaokumbwa na msongo wa mawazo ili kupunguza idadi ya vifo.....