Mstari wa mbele ambapo Urusi inakabiliana na Ukraine huko Bakhmut

  • | BBC Swahili
    4,185 views
    Tazama pundamilia huyu alivyorudishwa katika mbuga ya wanyama huko Seoul, Korea Kusini, baada ya kuzunguka mitaani kwa saa tatu. Pundamilia huyo anayeitwa Sero, alitoroka kutoka Mbuga ya wanyama ya Seoul Children's Grand Park Alhamisi alasiri. Maafisa wa zima moto na wafanyikazi wa mbuga ya wanyama wote walihusika katika kujaribu kumkamata kwa usalama. #bbcswahili #seoul #koreakusini