Mswada tata wa fedha unatarajiwa kuwasilishwa Bungeni kesho mchana

  • | Citizen TV
    1,026 views

    Macho yote yataelekezwa bungeni hapo kesho, wakati mswada tata wa fedha wa mwaka 2024 utakapowasilishwa bungeni. Aidha chama cha UDA kimeandaa mkutano wake wa wabunge utakaoongozwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi, kabla ya kikao hicho hapo alasiri.. makundi ya kijamii yamepanga maandamano hapo kesho nje ya bunge..