Mswada wa fedha Wa 2023 watarajiwa kuwasilishwa bungeni leo

  • | Citizen TV
    236 views

    Mswada Wa Fedha Wa Mwaka 2023 Leo Unatarajiwa Kuwasilishwa Katika Bunge La Kitaifa Kwa Somo La Pili, Huku Kamati Ya Fedha Katika Bunge Hilo Ikitarajiwa Kuuwasilisha Na Marekebisho Kadhaa