Mswada wa fedha wa 2025 wapendekeza kuondolewa shuru wa VAT kwa vipuri vya magari ya umeme

  • | KBC Video
    4 views

    Mswada wa fedha wa mwaka 2025 unapendekeza kuondolewa kwa ushuru wa VAT unaotozwa baadhi ya vipuri na magari ya umeme. Je hii itaathiri kwa njia gani bei za vipuri na gharama ya magari hayo humu nchini. Alan Aoko ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive