Mswada wa Seneta Cherargei wazua hisia mseto

  • | K24 Video
    54 views

    Mswada wa kuongeza miaka ya rais, wabunge, magavana na wawakilishi wadi kutoka ya sasa mitano hadi saba umewasilishwa katika bunge la seneti. Vilevile mswada huo uliowasilishwa na seneta wa nandi Samson Cherarkei umepania kubuni ofisi ya waziri mkuu sawia na ripoti ya kamati ya mazungumzo ya Bomas. Jaribio la muhula wa kuhudumu kijiri kwa mara nyingine ikiibua maswali kuwa ni nani anayeleta msukumo huo.