15 Sep 2025 1:17 pm | Citizen TV 108 views Duration: 2:13 Wadau wa sekta ya uvuvi mjini Malindi wamefanya maandamano ya amani katika kituo cha kupokea samaki cha Shella wakipinga mswada wa usimamizi na maendeleo ya uvuvi wakisema unakiuka katiba, na unalenga kumkandamiza.