Mswada ya kupinga mapenzi yansia moja yazua hofu

  • | BBC Swahili
    478 views
    Bunge la Ghana limepitisha mswada wenye utata dhidi ya wapenzi wa jinsia moja. Yeyote anayejitambulisha kama LGBTQ+ sasa ataadhibiwa kwa kifungo cha miaka mitatu jela. Mmoja wa wanachama wa jumuiya ya LGBTQ+ mjini Accra anaelezea jinsi sheria hii itakavyowaathiri. - #bbcswahili #ghana #lgbtq #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw