Mtaalam wa tetemeko la ardhi aeleza umuhimu wa teknolojia ya sesmolojia katika uchunguzi wa volcano

  • | VOA Swahili
    241 views
    Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa za mafunzo yanayotolewa na Kituo kinachotumia teknolojia ya kisasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuchunguza lava na tetemeko la ardhi na hali ya hewa. Ungana na mtaalam wa masuala ya seismolojia. Endelea kusikiliza... #mtaalam #drc #sesmolojia #teknolojia #lava #tetemeko #haliyahewa #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.