Mtahiniwa wa kidato cha nne afariki kighafla baada ya kufanya mtihani wa somo la Kilimo huko Turkana

  • | NTV Video
    128 views

    Ndoto ya mtahiniwa mmoja wa KCSE kuhitimu na kuingia chuoni imekatizwa ghafla na mauti yake baada ya kuandika mtihani wa somo la kilimo shuleni Talent High, Kaunti ya Turkana. Chanzo cha kifo cha John Ekalale hakijabainika moja kwa moja huku familia yake ikilaumu usimamizi wa shule kwa kutotoa taarifa ya hali ya mtoto wao kwa wakati. Kamanda wa Turkana ya kati Evans Ombui amesema uchunguzi unaendelea kufichua kilichojiri. Labaan Shabaan anasimulia. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya