Mtayarishi Wa Nyimbo Za Viziwi

  • | Switch TV
    Je, ushawai jiuliza viziwi husikiza wimbo namna gani? Nam, Collins mutindi, ambaye ni mTAYARISHAJI wa muziki ameanzisha mfumo mpya ya kuhakikisha watu wote wa tabaka tofauti tofauti wakiwemo viziwi wanapata kuburudika na Sanaa hii ambayo hufurahiwa si hapa nchini tu, bali kote duniani. Mwanahabari wetu Kevin Sewe alikutana na Collins na kutuandalia taarifa hii. #SwitchTVNews #Kenya SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: http://bit.ly/SwitchTVNews Connect with Switch Tv Online! Stream live via www.switchtv.ke/live Find Switch Tv on Facebook: https://www.facebook.com/switchtvkenya Follow Switch Tv on Twitter: https://twitter.com/switchtvkenya Follow Switch Tv on Instagram: https://www.instagram.com/switchtvke/