Mtembea kwa miguu amuokoa dereva aliyeumwa barabarani

  • | BBC Swahili
    Mtu mmoja huko Florida alifanikiwa kusimamisha gari lililokuwa kwenye mwendo baada ya dereva wa gari hilo kuugua akiwa nyuma ya usukani na kuanza kuteleza kuelekea katika magari mengine. Tazama! #bbcswahili #florida #udereva