Mti kubwa wa Mugumo waanguka siku chache baada ya sherehe ya tambiko kuandaliwa chini ya mti huo

  • | KBC Video
    Wakazi wa kijiji cha Mûthûre katika eneo bunge la Kabete,kaunty ya Kiambu wana wasi wasi baada ya kuanguka kwa mti mmoja kubwa wa Mugumo siku chache baada ya sherehe ya tambiko kuandaliwa chini ya mti huo.Mugumo ni mti unaoheshimiwa sana katika utamaduni wa jamii ya wakikuyu na kuanguka kwake huashiria mkosi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive