Mti wa Mathenge kutumiwa kama kitega uchumi

  • | KBC Video
    11 views

    Dhana kuhusu mmea wa Mathenge ambao umekuwa kero kwa jamii katika kaunti za Isiolo na Samburu inatarajiwa kubadilika kufuatia utafiti mpya ambao umebuni mbinu mpya za kugeuza mmea huo kuwa tija la kibiashara. Watafiti kutoka chuuo kikuu cha Nairobi, idara ya usimamizi wa ardhi na teknolojia ya kilimo wamesema wamegundua suluhisho ambalo haliathiri mazingira kwa kutumia maganda ya mbegu za mmea wa Mathenge kutengenezea chakula cha mifugo, nayo mashina ya mti huo yakitumika kutengenezea makaa. Jackline Macharia anatuletea taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive