Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE wang’oa nanga bila changamoto zozote

  • | KBC Video
    28 views

    Jumla ya watahiniwa 903,260 wa kidato cha nne walianza mtihani wa kitaifa wa shule za upili (KCSE) hii leo. Watahiniwa hao walianza kwa mtihani wa Kemia asubuhi kisha baadaye karatasi ya Kiingereza ya ujuzi kwa utendaji wakati wa adhuhuri. Wakati huo huo, watahiniwa wawili waliufanyia mtihani huo katika hospitali ya matibabu malum ya Kericho baada ya kujifungua. Watahiniwa hao waliojifungua watoto wasichana walikuwa katika hali nzuri na walifanikiwa kuufanya mtihani huo. Fredrick Pasayo ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive