Mtindio wa ubongo maarufu cerebral palsy visa vyake vinazidi kuongezeka_Siha Yangu

  • | K24 Video
    41 views

    Mtindio wa ubongo maarufu cerebral palsy ni aina ya ulemavu ambao visa vyake vinazidi kuongezeka huku nchini sambamba na masaibu yanayotokana na ulemavu. Jamii inaendelea kuwanyanyapaisha wanaoishi na ulemavu wa mtindio wa ubongo. Baadhi yao wanatengwa na jamii katika huduma muhimu hata hospitalini. Hii leo mwanahabari wetu Gideon Yeri anakuletea baadhi ya masaibu ya wenye changamoto ya mtindio wa ubongo baada ya kuzungumza na baadhi yao.