Mto Ran'gwena kaunti ya Homa Bay wavunja kingo zake

  • | Citizen TV
    224 views

    Wakaazi wa kijiji cha Wahambla eneo bunge la Homa-Bay mjini walikosa pa kulala usiku w akuamkia leo baada ya Mto Ran'gwena kuvunja kingo zake na kusababisha uharibifu katika kijiji hicho. Shirika la msalaba mwekundu likishirikiana na serikali ya kaunti ya Homa Bay limeanza shughuli ya dharura ya kuwaokoa waathiriwa.