Mto Ran'gwena kaunti ya Homa Bay wavunja kingo zake

  • | Citizen TV
    960 views

    Zaidi ya watu 300 wamewachwa bila makao katika kijiji cha wahambla kaunti ya Homa Bay, huku mvua ikiendelea kuathiri maeneo mengi nchini