Mtoto aliyetenganishwa na familia miaka 51 iliyopita wakutana tena

  • | BBC Swahili
    699 views
    Kipimo cha DNA kilivyounganisha familia hii baada ya miaka 51 ya kutengana kufuatia kutekwa nyara kwa mtoto mdogo na mlezi wa watoto aliyekuwa akimuangalia Melissa Highsmith alikuwa na umri wa miezi 22 tu alipochukuliwa kutoka nyumbani kwao katika jimbo la Texas la Marekani. Uchunguzi wa DNA kwenye tovuti ya 23AndMe uliunganisha watoto wa Highsmith na familia yake. #bbcswahili #familia #malezi