Mtoto aokolewa kutoka kwa tumbo la mama aliyefariki Gaza

  • | BBC Swahili
    736 views
    Sabreen alifariki dunia kabla kumtazama machoni mtoto wake wala kumbeba. Mama huyo mwenye umri mdogo alimbeba mtoto wake kwa miezi saba na nusu ya ujauzito akiwa na imani wangenusurika hasi vita viishe. Tarehe 20 Aprili Israel ilirusha bomu kwenye nyumba yao ya familia huko Rafah ambapo Sabreen, pamoja na mumewe na binti yao mwingine wa miaka mitatu walikuwa wamelala. #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw