- 446 viewsMiaka kumi iliyopita, tarehe 21 Septemba, wanamgambo waliokuwa na silaha nzito walivamia Westgate, jengo lenye maduka makubwa katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Takriban watu 67 waliuawa, na zaidi ya watu 200 walijeruhiwa wakati walipodhibiti jengo hilo. BBC ilizungumza na manusura wawili, ikiwa ni muongo mmoja baada ya shambulizi hilo baya kutokea katika historia ya nchi hiyo. #bbcswahili #kenya #nairobi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
'Mtoto mdogo alifia mikononi mwangu' - Manusura Westgate, Nairobi
- - Duniani Leo ››
- 19 Aug 2025 - Vehicles used to smuggle goods to be handed to the State, says judge
- 19 Aug 2025 - DPP challenges the acquittal of terror suspects in explosives case
- 19 Aug 2025 - Justice on sale: How racketeers at Busia courts are exploiting suspects, widows
- 19 Aug 2025 - Parliamentary group meeting turned stormy due to leaders' sustained accusations of bribery against the National Assembly.
- 19 Aug 2025 - Group C- Painful exit awaits either Uganda, Algeria, or South Africa
- 19 Aug 2025 - What was presented to rice farmers as a solution to weeds has now become a nightmare.
- 19 Aug 2025 - It is important for Kenyans who intend to apply for a U.S. visa to be aware of recent
- 19 Aug 2025 - Auditor cites inaccurate record keeping, unsupported expenditures as among the challenges.
- 19 Aug 2025 - He’s reportedly determined to uncover who sidelined him and why, given his influential position.
- 19 Aug 2025 - Land has a vital role in sustaining human communities, nurturing diverse ecosystems, and regulating the climate of our planet.