Mtoto mmoja amefariki baada ya kula muhogo nyumbani

  • | Citizen TV
    1,900 views

    Mtoto mmoja amefariki huku watu wanne wa familia moja wakilazwa hospitalini baada ya kula muhogo unaoaminika kuwa na sumu eneo la Nyamira Kaskazini. Kwa mujibu wa familia, mtoto huyo wa miaka saba na familia yake akiwemo mama na nduguze watatu, walikula muhogo huo Jumamosi kabla ya kuanza matatizwa na kukimbizwa hospitalini.