Mtoto Saat Rashid aliyepoteza fahamu baada ya ajali apata afueni

  • | Citizen TV
    3,735 views

    Ni afueni kwa familia moja kutoka kaunti ya Mandera baada ya mwanao aliyehusika katika ajali mbaya ya barabara na kupata majeraha ya kichwa na kupoteza fahamu kwa siku 14.