Mtoto wa marehemu Rais Daniel Moi azikwa kwao

  • | Citizen TV
    4,404 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amekashifu kile alichokitaja kama vitisho kwa viongozi wa upinzani kutoka kwa serikali. akizungumza kwenye mazishi ya June Moi, mwanawe hayati rais wa zamani daniel arap Moi, Kalonzo amesema kuwa viongozi wa upinzani wanaandamwa lakini hatawatikisika. Kauli ya Kalonzo inajiri baada ya gavana wa Murang'a mwangi wa Iria kutafuta agizo la kuizuia tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini kumkamata kwa tuhuma za kuhusika kwenye sakata ya zabuni ya shilingi lefu 140