Mtoto wa miaka 11 mwenye talanta kama ya 'Mozart'

  • | BBC Swahili
    393 views
    Mtoto wa miaka 11 kutoka nchini Marekani mwenye hali ya usonji anasemekana kuwa mpigaji kinanda mashuhuri kama Mozart.Mtoto huyu kwa jina Jude anaweza kucheza wimbo wowote anaousikia. Talanta hii ilimvutia mmoja wa wapenzi wa vinanda na kumzawadi piano kubwa zaidi. #bbcswahili #marekani #muziki