6 Nov 2025 7:40 pm | Citizen TV 795 views Duration: 1:18 Mtoto wa miaka mitatu unusu ameteketea hadi kufa katika kijiji cha Ha -iriga eneo bunge la Nyeri mjini, baada ya moto wa asubuhi ya leo kuteketeza nyumba kumi za kukodisha