Mtoto wa miaka 9 alishiriki maandamano ya Black Lives Matter kwa njia ya kipekee...

  • | BBC Swahili
    Kaitlyn Saunders alisikia kuhusu maandamano ya Black Lives Matter kutoka kwa wazazi wake na akaamua kwamba yeye mwenyewe angependa kuchukua hatua. Aliamua kuteleza katikati ya barabara iliyoko nje ya ikulu ya White House Marekani. tukio hilo limempa sifa si haba mitandaoni... #skating #vijana #siasa #bbcswahili