Mtoto wa mwaka mmoja alazwa hospitalini baada ya kuumwa na panya mjini Eldoret

  • | K24 Video
    53 views

    Mtoto wa mwaka mmoja amelazwa katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi baada ya kuumwa na panya katika mtaa wa huruma mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Inadaiwa mamake mtoto amewatelekeza wanawe waoanishi katika mazingira magumu na sio mara ya kwanza watoto wake ambao ni pacha kuumwa na panya