Mtu mmoja afariki alipovutwa na mashine ya kusaga sukari nguru eneo la Teso Kusini

  • | Citizen TV
    583 views

    Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Okiludu katika eneo bunge la Teso kusini kaunti ya Busia baada ya mtu mmoja kuaga dunia alipovutwa na mashine ya kusaga sukari nguru alipokuwa akiweka miwa kwenye mashine hiyo.