Mtu mmoja afariki baada ya kuugua kipindupindu Homa Bay

  • | Citizen TV
    316 views

    Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba amefariki baada ya kuambukizwa kipundupindu huku wengine 73 wakilazwa hospitalinikatika kaunti ya Homa Bay. Kulingana na afisa msimamzi wa idara ya afya katika kaunti hiyo Dkt. Kevin Osuri, mlipuko huo ulianza wiki mbili zilizopita katika eneo bunge la Suba Kaskazini kabla ya kusambaa.