Mtu mmoja afariki baada ya kuumwa na nyoka

  • | Citizen TV
    1,369 views

    Idara ya afya kaunti ya Vihiga inawatahadharisha wananchi dhidi ya matumizi ya mbinu asli za kuwashughulikia wanaoumwa na nyoka.