14 Aug 2025 10:37 am | Citizen TV 17,626 views Duration: 1:55 Idara ya afya kaunti ya Vihiga inawatahadharisha wananchi dhidi ya matumizi ya mbinu asli za kuwashughulikia wanaoumwa na nyoka.