Mtu mmoja afariki baada ya mbunge wa Gatundu Kusini kufyatua risasi kiholela mjini Thika

  • | Citizen TV
    3,005 views

    Polisi wameanzisha uchunguzi kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja katika wadi ya Kamenu eneo bunge la Thika Mjini. Kulingana na ripoti ya polisi mbunge wa Gatundu Kusini Gabriel Kagombe alifyatua risasi kiholela na kusababisha majeraha na maafa.