Mtu mmoja afariki kwenye ajali katika barabara kuu ya Nairobi- Nakuru usiku wa kuamkia leo

  • | Citizen TV
    622 views

    Mtu mmoja amefariki huku wengine zaidi ya kumi wakinusurika ajali hii iliyotokea usiku wa kuamkia Leo katika barabara ya Nakuru - Nairobi. Ajali hii ilihusisha gari la uchukuzi wa umma na Lori. Waliojeruhiwa walipelekwa katika hosipitali ya St Mary's Gilgil kupokea matibabu.