Mtu mmoja afariki na wengine 13 kujeruhiwa Mlango Kubwa

  • | Citizen TV
    Mtu mmoja afariki na wengine 13 kujeruhiwa Mlango Kubwa Wakazi wa mtaa huo walizua ghasia siku nzima kupinga kifo hicho Kifo hicho kinadaiwa kusababishwa na mzozo wa eneo la kazi kati ya wakazi Wakazi wa Mlango Kubwa waliwashambulia polisi waliotumwa kuzima ghasia Polisi wamewakamata watu 40 wakihusishwa na ghasia hizo