Mtu mmoja afariki na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabara eneo la Tsavo

  • | Citizen TV
    809 views

    Mtu mmoja amedhibitishwa kufariki na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la mto Tsavo kwenye barabara kuu ya Mombasa kuelekea Nairobi.