Mtu mmoja afia kwenye mpasuko Kaiti

  • | KBC Video
    16 views

    Hofu imetanda katika kijiji cha Kisulya, wadi ya Kilungu katika eneo bunge la Kaiti, kaunti ya Makueni kufuatia kifo cha mtu mmoja aliyeanguka kwenye mpasuko wa ardhi. Hiki ndicho kifo cha hivi punde kutokea kwenye mpasuko huo kufuatia vifo vya watu wengine wawili huku watano wakijeruhiwa.Inadaiwa mwathiriwa wa hivi punde alianguka ndani ya mpasuko huo alipokuwa njiani kuelekea nyumbani kutoka soko la Kilungu. Wakazi wanaitaka serikali ya kaunti kufanya hima kuziba mpasuko huo ili kuepusha maafa zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive