Mtu mmoja ahukumiwa miaka 150 kwa mauaji Bomet

  • | Citizen TV
    1,022 views

    Mahakama ya Bomet imemfunga miaka 150 gerezani mwanamme mmoja kwa kupatikana na hatia ya kuwaua wanawe watatu miaka mitano iliyopita