Mtu mmoja alijeruhiwa kwenye vurumai la mapigano kanisani Eldoret jana

  • | Citizen TV
    1,975 views

    Mtu mmoja amejeruhiwa baada ya vurumai kuzuka katika kanisa la AIC Itigo eneo la Chepkoilel kaunti ya Uasin Gishu. Waumini walianza kupigana baada ya kutofautiana kuhusu uhamisho wa wahubiri wa kanisa hilo pamoja na utata wa pesa za sadaka