- 1,032 viewsDuration: 2:41Mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa eneo la Katani kaunti ya Machakos kwenye mzozo wa ardhi ambao pia ulisababisha kujeruhiwa kwa watu wengine wawili. Samuel Muiruri Maina alipigwa risasi kufuatia tofauti kati ya mtu anayedai umiliki wa ardhi na kundi la vijana eneo hilo