Mtu mmoja amefariki kufuatia ajali ya boti ziwa Baringo

  • | Citizen TV
    271 views

    Maafisa wa usalama kaunti ya Baringo wanaendelea kuwatafuta watu watano ambao walizama baada ya boti walimokuwa kupinduka katika ziwa Baringo. Mtu mmoja alithibitishwa kufariki kwenye tukio hili la hapo jana.