Mtu mmoja amefariki kufuatia mvua kubwa huko Kiambu

  • | Citizen TV
    564 views

    Mtu mmoja amefariki huku wengine watatu wakijeruhiwa kufuatia mafuriko yaliyosababisha ukuta kuanguka eneo la Ruaka, kaunti ya Kiambu.