Mtu mmoja amefariki kufuatia uvamizi wa punde kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    773 views

    Watu watano wanauguza majeraha kaunti ya Samburu, kufuatia uvamizi wa punde zaidi uliosababisha kifo cha mtu mmoja. Uvamizi huu umefuatia mzozo wa malisho kati ya wenyeji wa eneo la lowangishu mpakani mwa kaunti ya isiolo na samburu. Bonface Barasa na mengi zaidi kutoka Samburu.