"Mtu mmoja anashikiliwa kuhusiana na tukio la kumshambulia Padri"

  • | BBC Swahili
    3,630 views
    Baada ya kusambaa kwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima na Watu wasiojulikana, usiku wa jana Aprili 30, 2025, Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Rauli Mahabi “Haraja”, Mkazi wa Kurasini kutokana na tukio hilo na uchunguzi unaendelea Padri Kitima anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan. #bbcswahili #tanzania #TEC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw