Mtu mmoja apigwa risasi kwa uvamizi Baringo kusini

  • | Citizen TV
    703 views

    Hali imesalia tete huku mtu mwingine mmoja akiuwawa kwenye uvamizi wa punde eneo la Embosos, Baringo Kusini. Hii ni baada ya watu wengine watatu kuuwawa katika eneo la loberer na miili yao kuchomwa kwa kisasi cha mashambulio ya hivi karibuni.