Mtu mmoja apigwa risasi mguuni Gilgil baada ya polisi kutawanya mkutano wa viongozi wa DCP

  • | NTV Video
    2,970 views

    Mtu mmoja amepigwa risasi mguuni huko Gilgil kaunti ya Nakuru baada ya polisi kutawanya mkutano wa viongozi wa chama cha DCP inayohusishwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya